Ifahamu Sports Massage
Sports Massage – Massage ya Michezo Massage ya michezo ni unyumbulishaji wa kitaalamu wa tishu laini za mwili ambapo huzingatia misuli inayohusiana na mchezo fulani. Wataalamu wa massage hutumia mbinu mbalimbali za kimijongeo kama vile ukandaji (kneading), ubonyezaji, usuguaji, mtetemo (vibration) na unyooshaji (stretching). Mbinu hizi za kimjongeo zinazofanywa na wataalamu wa Massage zinalenga …