Tatizo la maumivu ya miguu au mikono na ganzi (Peripheral
neuralpathy) hutokana na matatizo katika mfumo mdogo wa fahamu ambao huchukua
taarifa kutoka sehemu mbalimbaili za mwili na kupeleka katika Ubongo kwa ajili
ya kutafsiri na kutoa mwitikio stahiki. Tatizo hili husababisha Neva zilizo
katika ncha za vidole hushindwa kupeleka taarifa hizo iusahihi, Kwa mfano
zinaweza zikapeleka hisiia za maumivu hali ya kuwa hakuna kitu chochote
kinachosababisha maumivu, Pia zinaweza zisipeleke taarifa za maumivu hata kama
kuna kitu kinaumiza katika mguu au mkono-Hii ni hatari zaidi kwani mtu anaweza
kuungua moto na asipate hisia zozote za maumivu.
hili husababishwa na Sababu mbalimbali katikaa mwili. Kila sababu ina dalili
zake na ina matibabu yake.
Watu wengi wenye kisukari hupata kwa urahisi tatizo la peripheral neuralpathy
HIV/AIDS huweza kusababisha tatizo la peripheral neuralpathy
chache sana.
ZA UGONJWA HUU
Kuhisi kama kuna
kitu chenye ncha kali kinakuchoma. Maumivu haya huweza kuwa ya muda hadi muda
na wakati mwingine huwa ya kushtua.
Ganzi ya mikono
au miguu. Ni kawaida Kwa watu wenye tatizo hili kupata ganzi ya viungo yaani
mikono au miguu na hii hupelekea kushindwa kutembe iwapo ganzi ni ya miguuni au
kushika vitu iwapo ganzi ni ya mikononi.
Kupoteza huwezo
wa kuhisi vichocheo. Mfano joto
Kuhisi kama mguu
au mkono unaungua
NEURALPATHY
Kwa muda mrefu bila ya kutibiwa hueza kupelekea kutokea Kwa matatizo makubwa
zaidi ya kiafya kwa mgonjwa. Athari hizi hutegemea ni aina gani ya neva
imeathirika. Matatizo yanayoweza kusababishwa na tatizo hilo ni:-
tatizo lipo kwenye Neva za sensori (hizi ni neva zinazopokea vichocheo vya
joto, baridi na presha), Athari zinaweza kuwa ni
Maumivu makali
ya kuchoma na ganzi
Kushindwa kuhisi
joto au baridi.
Kushindwa kuhisi
baridi.
husaidia katika mjongeo, Huweza kupelekea athari zifuatazo:-
Misuli dhaifu,
isiyo na nguvu.
Tatizo la kumeza
au kupumua iwapo misuli ya kifua imeathirika
zilizoathirika ni zinazoshughulika na Msukumo wa damu, mapigo ya moyo,
mmeng’enyo wa chakula na mfumo wa mkojo, matatizo yafuatayo yanaweza
kujitokeza.
Matatizo mfumo
wa mmeng’enyaji amabyo yanaweza kupelekea Kuharisha au Kupata choo kwa shida.
Kizunguzungu,
Matatizo ya
mfumo wa uzazi kwa mwanaume na mwanamke.
Matatizo ya
mfumo wa jasho, unaweza ukatokwa na jasho kiasi kikubwa au kwa uchache.
ni suluhisho kamili la tatizo hili, pia tuna dawa maalumu za kufanyia massage
zinazomaliza kabisa tatizo la miguu na mikono kuwaka moto na ganzi. Tuna uzoefu
katika kutibu tatizo hili na Mmoja wa wahanga wa tatizo hili ambaye ametibiwa
kwetu *[Happiness Massage]* na kupona kabisa anaeleza:-
“Nashukuru
sana Happiness Massage kwa sasa nimepona kabisa tatizo la miguu kuwaka moto,
nilienda hospitali kadhaa bila ya mafanikio hadi nikakata tamaa, lakini kupitia
nyinyi nimepona kabisa na naendelea na kazi yangu kama kawaida” Mwl. Hemedi [ mwlhemedi@gmail.com]
Massage | Tunarejesha furaha yako!
Lamada Hotel-Manyara Apartment No: 27, Ilala Dar Es Salaam.
0715 343 161/ 0756 343 161






