Massage ya Miguu na Umuhimu wake

Massage ya Miguuni inasaidia kuweka misuli katika hali ya usawa, pia kwa wale waliopooza pia inawasaidia kuhamsha seli(activation of NERVE CELLS) na mishipa ya damu iliokakamaa kwa muda mrefu. Unashauriwa kufanya massage kwa ajili ya afya yako.
Kumbuka kuwa maumivu ya kawaida yakiwa endelevu yanaweza kusababisha matatizo zaidi.
Kwa kuepuka hayo yasitokee. Ni vema ufanye massage mapema.
kwa huduma nzuri za massage na bei nafuu


KARIBUNI SANA HAPPINESS MASSAGE SERVICES
tunapatikana ILALA LAMADA HOTEL MANYARA  no.27
Wasiliana nasi kwa namba  0787 343 161



KARIBU UFURAHIE HUDUMA ZETU. , 0715 343161.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top