MAAJABU YA MWANI KATIKA AFYA YA BINADAMU
Seamoss (Mwani) ni mmea bahari wenye sifa za kuwa na madini 92 kati ya madini 102 yapatikanayo binadamu mwili wa binadamu. Mwani huongeza ukuaji wa bakteria nzuri na kulisha utumbo. Seamoss ina sifa za antiviral & anti microbial ambayo husaidia binadamu kuondoa kila aina ya maambukizi. Hivyo inaboresha kinga ya mwili. Seamoss ina potassium chloride,ambayo …