SeaMoss Capsules

MAAJABU YA MWANI KATIKA AFYA YA BINADAMU

Seamoss (Mwani)   ni mmea bahari wenye sifa za kuwa na madini 92 kati ya madini 102 yapatikanayo binadamu mwili wa binadamu. Mwani huongeza ukuaji wa bakteria nzuri na kulisha utumbo. Seamoss ina sifa za antiviral & anti microbial ambayo husaidia binadamu kuondoa kila aina ya maambukizi. Hivyo inaboresha kinga ya mwili. Seamoss ina potassium chloride,ambayo …

MAAJABU YA MWANI KATIKA AFYA YA BINADAMU Read More »

SPORTS-MASSAGE

Ifahamu Sports Massage

Sports Massage – Massage ya Michezo Massage ya michezo ni unyumbulishaji wa kitaalamu wa tishu laini za mwili ambapo huzingatia misuli inayohusiana na mchezo fulani. Wataalamu wa massage hutumia mbinu mbalimbali za kimijongeo kama vile ukandaji (kneading), ubonyezaji, usuguaji, mtetemo (vibration)  na unyooshaji (stretching).   Mbinu hizi za kimjongeo zinazofanywa na wataalamu wa Massage zinalenga …

Ifahamu Sports Massage Read More »

APRICARE 3

Faida za Mafuta ya Apricare

Jipatie mafuta ya HI pia yanafahamika kama APRICARE. Unaweza kuyatumia mafuta haya kupaka usoni, mwilini au kufanyia massage.  Mafuta ni ya asili kwa 100% hayana kemikali zozote na yana harufu nzuri. Mafuta haya;- Yanaondoa muwasho katika ngozi Yanaondoa makovu Yanang’arisha ngozi kwa njia ya asili Yanaboresha tendo la ndoa Yanaondoa weusi katika mwili Yanachangamsha fikra. …

Faida za Mafuta ya Apricare Read More »

Scroll to Top