MAAJABU YA MWANI KATIKA AFYA YA BINADAMU

SeaMoss CapsulesSeamoss (Mwani)   ni mmea bahari wenye sifa za kuwa na madini 92 kati ya madini 102 yapatikanayo binadamu mwili wa binadamu.

Mwani huongeza ukuaji wa bakteria nzuri na kulisha utumbo.

Seamoss ina sifa za antiviral & anti microbial ambayo husaidia binadamu kuondoa kila aina ya maambukizi. Hivyo inaboresha kinga ya mwili.

Seamoss ina potassium chloride,ambayo husaidia mwili kupunguza uvimbe. Na watu hutumia ili kupunguza athari za maambukizi kwa sababu ya nguvu yake katika kinga ya mwili.

Seamoss ina utajiri wa madini aina ya folate ambayo ni ufunguo binadamu ukuaji wa kichanga tumboni, hivyo ni muhimu kwa mama mjamzito.

Seamoss ni laxative ( kwa kiwango kidogo ) Ila yenye ufanisi! Hii inamaanisha hakuna kuvimbiwa tena! . Husafisha colon ( utumbo mkubwa)kwa ufanisi.

Seamoss ina utajiri wa madini ya zinc ambayo Husaidia Libido na huboresha utendaji wa tendo la ndoa. Seamoss hutambulika kama viagra ya asili.

Kuwa ina uwezo mkubwa wa kupambana na mafuta yasiyo hitajika mwilini hivyo kupunguza uzito uliokithiri kwa haraka kulingana na bidii ya kutumia.

Faida zake ni:

-Huchochea seli kupata hewa ya Oxygen
-Huboresha ufyonzaji wa virutubisho
-Huimarisha mifupa
-Hunuisha ngozi/ nywele/kucha -Huongeza kinga mwilini -Hupunguza uvimbe
-Huondoa kamasi binadamu mwili -Hupambana uzee (anti-aging) -huongeza nishati. ( energy)
– inaimarisha kazi ya Thyroid -Hupunguza maumivu ya viungio ( joints)
-Afya ya moyo
-Nzuri kwa lishe
-Nzuri kwa afya ya uzazi
-Husaidia kupambana na maambukizi mbalimbali.
-Afya ya mapafu
-afya ya akili na hata mwili kiujumla -Afya ya mwanamke
-Huboresha tendo la ndoa -Husaidia matatizo ya allergy mbalimbali
-husaidia kutatua shida za usingizi.

Matumizi yake huwa kuanzia vidonge viwili(2)  kwa siku mara 3 (Pia unaweza kuzidisha kama vile vidonge 3 kwa siku mara tatu) kwani hauhesabiki kama dawa bali ni kama chakula chenye virutubishi ( superfood).

Gharama ya Package 1 ni Tsh 65,000/=. Utafikishiwa popote ulipo.

Wasiliana Nasi kwa Simu Namba: 0715 343 161 au 0756 343 161 au 0787 343 16

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top