Ni scrub ya kimatibabu yenye uwezo wa kufungua matundu ya ngozi.
- Inafanya ngozi kuwa nyororo
- Inaondoa kabisa takamwili.
- Inatumia scrub za asili zenye kuleta majibu mara baada ya kumaliza tu kutokana na mchanganyiko wake wenye nguvu kubwa ya kuusisimua mwili na kuondoa kabisa uchovu na kukufanya uweze kuwa huru na mwenye furaha na mwepesi.
- Ni nzuri sana kwa watu ambao wanapata usingizi kupita kiasi na uchovu wa mara kwa mara.
- Inang’arisha ngozi kwa kuondoa kabisa tabaka mfu ambalo likiendelea kuwepo linaweza kusababisha uzalishaji wa vimelea vya magonjwa ya ngozi na kufubaza mwonekano wa ngozi.
Tunapatikana, Ilala Dar es Salaam.
Weka Oda sasa:
Tupigie Simu kwa Namba.
0715 343 161, 0756 343161
0787 343 161.
Website: www.happinessmassage.co.tz
Instagram: @happinessmassage
Facebook: @happinssmassage1
Happiness Massage, Tunarejesha Furaha yako.