Jipatie mafuta ya HI pia yanafahamika kama APRICARE. Unaweza kuyatumia mafuta haya kupaka usoni, mwilini au kufanyia massage.
Mafuta ni ya asili kwa 100% hayana kemikali zozote na yana harufu nzuri.
Mafuta haya;-
- Yanaondoa muwasho katika ngozi
- Yanaondoa makovu
- Yanang’arisha ngozi kwa njia ya asili
- Yanaboresha tendo la ndoa
- Yanaondoa weusi katika mwili
- Yanachangamsha fikra.
- Yanaondoa harufu mbaya ya jasho mwilini
- Yanalainisha kabisa miguu kwa watu wenye magaga
- Yanaondoa fangasi katika sehemu za siri na katika ngozi
- Yana uwezo mkubwa wa kulinda na kurutubisha ngozi yako kiasili.
- Yanaondoa michirizi katika ngozi
👇Mafuta yanapatikana kwa Gharama ya Tsh 20,000/= tu
Piga simu 0715343161 au 0756343161 ili kuagiza.
Tunapatikana Lamada Hotel, Apartment no. 27, Ilala Dar es Salaam.
Karibu Sana.
Happiness Massage, Tunarejesha Furaha Yako.